Na mwandishi wetu
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo April 14, 2025 amekutana na kufanya mazungumzo na Kamati ya Ustawi wa Jamii, Baraza la Wawakilishi Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
Pamoja na mambo mengine wamejadili maswala mbalimbali yanayohusu Ustawi wa jamii Tanzania Bara na Zanzibar, baadaye Kamati hiyo imefanya ziara Makao ya Watoto Kurasini Jijini Dar es Salaam.
0 Comments