Na mwandishi wetu
Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama leo Juni 29, 2025 amefika katika Ofisi za Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ilala na kuchukua Fomu ya Kugombea Ubunge Jimbo la Ukonga.
Amekabidhiwa Fomu hiyo na Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Ilala, Chief Sylvester Yaredi.
0 Comments