DC KUBECHA ASHIRIKI MSARAGAMBO NA WANANCHI UCHIMBAJI WA MSINGI

 



Na mwandishi wetu

Mkuu wa wilaya ya Gairo Mhe Japhari Kubecha Katika Kutimiza Kauli yake ya Kuwa Pamoja na Wananchi wa Gairo na Kutimiza Kauli ya "Zege Halilali " Ameshiriki Msalagambo pamoja na Wananchi Katika zoezi la Uchimbaji wa Msingi wa Ujenzi wa Miundombinu ya Shule Mpya ya Awali katika Kitongoji cha Malimbika kata ya Gairo.

Aidha katika Msaragambo huo Mkuu wa Wilaya aliongozana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Gairo ndg.Sharifa Nabalang'anya pamoja na Katibu Tawala ndg.Jeremia Mapogo na Watumishi Mbalimbali wa Wilaya ya Gairo.

Mara Baada ya Ushiriki  Dc Kubecha alipata Wasaa wa Kuongea na Wananchi na Kuwaomba Kushirikia kikamilifu kwenye Miradii hii ya Maendeleo na Kuitunza Pindi Inapokamilika Huku  akiwaeleza Kumshukuru Dkt Samia Suluhu Hassan kwa Kupunguza Changamoto ya Wanafunzi Kutembea Umbali Mrefu Ameleta Fedha kwa Ujenzi wa Shule Mpya ya Msingi hapa Malimbika .





# *GAIRO YETU ,MAENDELEO YETU*

Post a Comment

0 Comments