Na mwandishi wetu
Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM TAIFA Ndg. Jessica Mshama amesema kuwa Madarasa ya uongozi yanayoendeshwa na Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) yamekuwa chachu ya kuoka Viongozi wapya ambao baadhi yao wamejitokeza kugombea nafasi mbalimbali za kiuongozi.
Ndg. Jessica Mshama aliyasema hayo wakati wa mahojiano na Watangazi wa Kipindi cha Sentro cha Clouds Tv kilichofanyika Jana 08 Julai, 2025 katika studio za Clouds Tv Jijini Dar es Salaam
Vijana Tunasema
OKTOBA TUNATIKI ✅
#KaziNaUtuTunasongaMbele
#TunazimaZoteTunawashaKijani
#OktobaTunatiki✅✅✅
0 Comments