DKT. BITEKO AZINDUA MPANGO KAZI WA KITAIFA WA AJENDA YA WANAWAKE, AMANI NA USALAMA

 



Na mwandishi wetu

"Tanzania tulishapiga hatua kubwa na tunaendelea vizuri katika kutekeleza Ajenda hii ya Wanawake, Amani na Usalama ambapo kwa mujibu wa Gender Inequality Index ya mwaka 2021, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilishika nafasi ya 146 kati ya nchi 191 kutokana na maendeleo yaliyopo tangu miaka ya 1990 katika kuhimiza usawa wa kijinsia, uwezeshaji wa wanawake, kubiresha afya ya Mama na Mtoto pamoja na uwepo wa Uwakilishi wa Wanawake Bungeni."

Dkt. Biteko amesema hayo Agosti 19, 2025 wakati akizindua Mpango kazi wa Kitaifa wa kutekeleza Ajenda ya Wanawake, Amani na Usalama 2025 – 2029 ikiwa ni Azimio namba 1325 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu Wanawake, Amani na Usalama uliofanyika Kinondoni, Mkoani Dar es Salaam.











Post a Comment

0 Comments