DKT TULIA ACKSON AMTAKIA KHERI KUZALIWA JOHN MALECELA

 



Spika wa Bunge na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, tarehe 19 Aprili, 2024 amemtembelea na kumpongeza Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. John Samuel Malecela kwa kutimiza miaka 90 ya kuzaliwa kwake kwenye makazi yake Uzunguni Jijini Dodoma. 


Mhe. Spika amemkabidhi Mhe. Malecela picha ikiwa ni ishara ya kumtakia kheri, afya njema na maisha marefu.




Post a Comment

0 Comments