*Miradi ya Kuzalisha Umeme*
# Wizara imepanga kukamilisha mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia mradi wa Julius Nyerere (MW 2,115) ambapo kazi zilizopangwa kutekelezwa ni pamoja na kukamilisha ujenzi wa jengo la mitambo (power house) na ufungaji wa mitambo saba (7) ya kuzalisha umeme ambayo kwa sasa ipo katika hatua mbalimbali za ukamilishwaji.
# Wizara pia itaendelea na utekelezaji wa mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia gesi asilia wa Kinyerezi kwa kukamilisha ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme wa msongo wa kilovoti 132 yenye urefu wa kilomita 19.2 kutoka kituo cha kuzalisha umeme cha Kinyerezi kwenda Gongolamboto hadi Mbagala Jijini Dar es Salaam na kufunga transfoma maeneo ya Gongolamboto na Mbagala.
# Miradi mingine ya uzalishaji wa umeme itakayotekelezwa ni mradi wa kuzali
0 Comments