RAIS WETU DKT SAMIA SULUHU HASSAN ANATUPENDA SANA VIJANA" CDE: MWAKITINYA

 





*"RAIS WETU DKT SAMIA SULUHU HASSAN ANATUPENDA SANA VIJANA" CDE: MWAKITINYA*


Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara Komredi Mussa Mwakitinya (MNEC) amesema RAIS Samia Suluhu Hassan amefungua nchi anafanya uwekezaji mkubwa, Miradi mingi inatekelzewa na yote inawanufaisha Vijana moja kwa moja. 


"Rais Samia Suluhu Hassan anathamini na kutupenda vijana . Ameendelea kutoa fursa na kuweka mazingira bora ili vijana waweze kufikia ndoto zao na kuchangia maendeleo ya nchi. Tuendelee kumuunga mkono kwa kufanya kazi kwa bidii na kuleta mabadiliko chanya katika nchi yetu" alisema Cde Mwakitinya

Post a Comment

0 Comments