EWURA YATOA BEI YA KIKOMO ZA BIDHAA ZA MAFUTA YA PETROLI

 



BEI KIKOMO ZA BIDHAA ZA MAFUTA YA PETROLI 


EWURA inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano ya tarehe 4 Septemba 2024 saa 6:01 usiku.


Wafanyabiashara wa bidhaa za mafuta kwa rejareja na jumla wanatakiwa kuuza mafuta kwa bei zilizoidhinishwa. 

Hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya mfanyabiashara yoyote atakayekiuka AGIZO hili.








Post a Comment

0 Comments