DKT. BITEKO AUNGANA NA WANABUKOMBE KWENYE MBIO FUPI

 



Na mwandishi wetu

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt.Doto Biteko leo Oktoba 10, 2024 ameungana na wananchi wa Bukombe kwenye mazoezi ya kukimbia mbio fupi za KM 5 ikiwa ni sehemu ya shamrashamra za kuelekea kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya Mwalimu Duniani ambayo yanafanyika Wilayani Bukombe, Oktoba 11, 2024.

Mbio hizo zimehudhuriwa na Viongozi mbalimbali wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Bukombe, Mhe. Paskasi Mulagiri pamoja na benki ya CRDB wameshiriki.











#KusemaNaKutenda

#SikuYaMwalimu2024

#Bukombe #Crdbbank

Post a Comment

0 Comments