*MKOA WA DAR ES SALAAM*
*Kijana, una changamoto, kero au maoni unataka kuyafikisha sehemu sahihi ili yafanyiwe kazi? Umoja wa Vijana wa CCM unakuletea Sema na Samia tarehe 13 Novemba, 2024 ambapo tutakuwa na majadiliano ya wazi kuhusu vijana katika Ukumbi wa CCM Anatoglo - Ilala saa 04:00 asubuhi.*
*Usipitwe na fursa hii muhimu, mkaribishe na mwenzako tukazungumze kwa pamoja.*
#KijananaKijani
#TunazimaZoteTunawashaKijani
0 Comments