DC KUBECHA ASISITIZA MAAFISA MICHEZO WA JIJI LA TANGA KUSHIRIKI KWENYE KOZI YA FIFA YA AWALI IJAYO


 

*DC KUBECHA ASISITIZA  MAAFISA MICHEZO WA JIJI LA TANGA KUSHIRIKI KWENYE KOZI YA FIFA YA AWALI IJAYO*

Mkuuu wa wilaya ya Tanga Mhe Japhari Kubecha Amefunga Kozi ya Fifa Awali kwa Makocha ,Mafunzo Hayo yamefanyika kwa Muda wa Wiki moja iliyofanyika Mnyanjani.

Mafunzo hayo yalikuwa na Wanafunzi Wapatao 73 kutoka Mikoa ya Dsm , Arusha ,Pemba na Tanga.

Mheshimiwa Mkuu wa wilaya Aliendelea Kuwatia Moyo kwa Kusema " Hapa Ndio Kwanza Mmeanza isiwe Mwisho wa Nyie Kujiendeleza Bali iwe ndio mwanzo wa Kufungua Fursa ya Kusoma mafunzo mengine Yatakayoitishwa na TFF" Pia Amewapongeza sana TFF Chini ya Rais Wallace karia pamoja na Chama cha soka Mkoa wa Tanga kwa Kuratibu Mafunzo haya kwa Uweledi Mkubwa , Aidha Akatoa Raia kwenye Mafunzo mengine ya Awali yatayokuja Kuhakikisha Maafisa Michezo Wote wa Jiji la Tanga Kushiriki Mafunzo haya ili kuwa na Uweledi mkubwa zaidi .





# *TANGA YETU ,LANGO LA UCHUMI WA AFRIKA MASHARIKI*

Post a Comment

0 Comments