Na mwandishi wetu
Wananchi wajitokeza eneo atakalozikwa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Job Ndugai katika Kijiji cha Msunjulile, Kitongoji cha Mandumbwa wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma leo 11 Agosti, 2025.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa anatarajiwa kuongoza waombolezaji katika zoezi la kumpumzisha Hayati Ndugai katika Nyumba yake ya Milele.
(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
0 Comments