MWANAISHA WA ACT ATIA NIA YA UBUNGE KIGAMBONI 2025

 

Na mwandishi wetu

Mwanaisha Zuberi Mndeme ambaye ni Mwanasheria, Katibu wa Mambo ya Nje na Waziri kivuli wa Viwanda na Biashara wa ACT Wazalendo ametia nia ya kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya ubunge katika Jimbo la Kigamboni katika kuelekea kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025.

Licha ya Chama cha CHADEMA kukosa sifa ya kushiriki katika uchaguzi kwa upande wa ACT Wazalendo katika Jimbo la Kigamboni Mwanaisha Mdeme amechukua fomu ya kugombea ubunge huku akihakikisha kuwa sababu kubwa ni kuwapatia wananchi wa Kigamboni kuwa na haki ya kupata kiongozi wanaye mtaka.

Mbali na kugombea nafasi ya Ubunge ameeleza changamoto mbalimbali ambazo zimekuwa zikiwasumbua wananchi wa Kigamboni na kuahidi namna atakavyo tatua changamoto hiyo pindi atakapochaguliwa.







Post a Comment

0 Comments