RAIS DKT SAMIA ASHIRIKI BARAZA LA EID EL-FITR

 




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Baraza la Eid El-Fitr katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es salaam , leo tarehe 31 Machi, 2025.















Post a Comment

0 Comments