RAIS PUTIN ALITUMA NDEGE YA JESHI KUMCHUKUA RAIS TRAORE BURKINAFASO HADI URUSI

 


Na mwandishi wetu

Imefahamika kuwa Rais wa Urusi Vladimir Putin alituma ndege binafsi na baadhi ya wanajeshi wa Urusi kumchukua Rais Ibrahim Traoré hadi Moscow kuhudhuria maadhimisho ya Siku ya Ushindi ya Urusi yanayofanyika Leo  tarehe 9 Mei, 2025. 

Tukio la mwaka huu linaadhimisha miaka 80 tangu Ushindi wa Umoja wa Kisovyeti dhidi ya Ujerumani ya Nazi.Ushiriki wa Traoré unaonyesha kuimarika kwa uhusiano kati ya Burkina Faso na Urusi..Yeye ndiye Rais pekee aliyepokelewa rasmi na Vladimir mwenyewe..

Somo la maadili:  Huyu Mtu ni mkubwa, na uhusiano wake na Urusi? Utawafanya Magharibi wakasirike hata zaidi.

Post a Comment

0 Comments