KAWAIDA APOKELEWA NKASI




Na mwandishi wetu

Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) amepokelewa leo 24 Juni, 2025 katika Uwanja wa Shule ya Msingi Kabwe, Nkasi Mkoani Rukwa.

Mwenyekiti Kawaida amefanya ziara katika katika Kata ya Kabwe Wilaya ya Nkasi ikiwa ni funga kazi ya ziara yake iliyodumu katika Mikoa ya Katavi, Rukwa, Songwe na Kigoma akiambatana na Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UVCCM Taifa Ndg. Ivan Moshi.

Vijana Tunasema

OKTOBA TUNATIKI ✅ 


#KaziNaUtuTunasongaMbele

#TunazimaZoteNaKuwashaKijani

#OktobaTunatiki✅✅✅





 

Post a Comment

0 Comments