Na mwandishi wetu
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) amekabidhi pikipiki Tatu, Vyerehani vitano na fedha taslimu Shilingi Milioni tano kwa Vijana wajasiriamali wa Chama Cha Mapinduzi katika kata ya Kabwe wanaojishughulisha na shughuli mbalimbali ambayo kwa pamoja vimegharimu jumla ya shilingi milioni 16.
Kawaida amehitimisha ziara yake leo katika Kata ya Kabwe, ziara iliyohusisha Mikoa ya Katavi, Rukwa, Songwe na Kigoma kuanzia 11 - 24 Juni, 2025.
Vijana Tunasema
OKTOBA TUNATIKI ✅
#KaziNaUtuTunasongaMbele
#TunazimaZoteTunawashaKijani
#OktobaTubatiki✅✅✅
0 Comments