Na mwandishi wetu
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa Ndg. Mohammed Ali Kawaida apokelewa Kwa kishindo na Vijana wa CCM Wilaya ya Mpanda leo Ijumaa 13 Juni, 2025.
Mwenyekiti anaendelea na Ziara yake ya Siku Satu za Kibabe inayohitimishwa leo katika Mkoa wa Katavi.
Vijana Tunasema
OKTOBA TUNATIKI ✅✅✅
#KaziNaUtuTunasongaMbele
#TunazimaZoteTunawashaKijani
#OktobaTunatiki✅✅✅
0 Comments