KAWAIDA MGENI RASMI KIJANI ILANI CHATBOT

 



Na mwandishi wetu

Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) amewasili katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam kuzindua Kijani Ilani Chatbot ambayo inaenda kumrahisishia kijana kufahamu masuala ambayo Serikali imeyafanya 2020-2025 na yale itafanya katika kipindi cha mwaka 2025 - 2030 kwa kuyasoma kiganjani popote alipo.


Ndg. Kawaida baada ya kuwasili alivalishwa skafu na kupokelewa na Katibu Mkuu wa UVCCM, Ndg. Halid Mwinyi akiambatana na Manaibu Katibu Wakuu, Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji na wenyeji viongozi wa UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam.








#oktobatunatiki✅

#kazinaututunasongambele

#tunazimazotetunawashakijani

Post a Comment

0 Comments