Na mwandishi wetu
Mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Job Ndugai ukiwasili katika Kanisa la Anglikana- Mtakatifu Machael, Dinari ya Kongwa Wilayani Kongwa mkoani Dodoma tayari kwa Ibada ya kumuaga leo 11 Agosti, 2025.
Ibada hii inaongozwa na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Dkt. Maimbo Mndolwa.
0 Comments