Na mwandishi wetu
Mgombea Uraisi kupitia Chama Cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA Mh.Salum Mwalimu akiambatana na Mgombea mwenza Mh.Devotha Minja Leo,August 12,2025 wamechukua Fomu ya kugombea Uraisi kupitia CHAUMMA makao makuu ya Tume ya Uchaguzi Dodoma nakukabidhiwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji wa Mahakama ya rufaa,Jacobs Mwambengele.
0 Comments