Iringa, Tanzania | 07 Septemba 2025
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM (MCC), Ndugu Mohammed Ali Kawaida, ataongoza matembezi ya kibabe ya vijana kutoka Ofisi za CCM Mkoa wa Iringa hadi Uwanja wa Samora leo Jumapili, kuanzia saa 3:00 asubuhi.
Matembezi haya ni sehemu ya hamasa kuelekea Mkutano Mkubwa wa Kampeni za Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, utakaofanyika leo
wakiahidi kuunga mkono sera za maendeleo na kuhimiza amani katika mchakato mzima wa uchaguzi.
#OktobaTunatiki✅✅
#KaziNaUtuTunasongaMbele
#TunazimaZoTetunaWashakiJani
#FyuchaBilaStresi
0 Comments