Na mwandishi wetu
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Balozi Dkt. Asharose Migiro akiwasili kwenye uwanja wa mlima reli Mji mdogo wa Mbalizi Mkoani Mbeya kwa ajili ya maandalizi ya kumpokea Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan ambapo atazungumza na wananchi na kuwaomba kumpigia kura katika uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani utakaofanyika Oktoba 29, 2025 nchi nzima
0 Comments