Na mwandishi wetu
Klabu ya Yanga imetishia kusitisha mkataba na Azam Tv baada kufanya mahojiano ambayo imeonyesha kuichafua brand ya Yanga sc
Azam Tv imeiomba msamaha klabu ya Yanga sc na kuziondoa video na maudhui yote ambayo yanapatikana kwenye Interview hiyo.
0 Comments